Friday, July 10, 2009

NATURE, OMMY G, DULLAYO, STOPA NA PIG BLAK KUKAMUA MOMENT PARK' KIWALANI KESHO!!


Sir.Juma nature ataendelea "kugawana umaskini" na wadau wa pande za Kiwalani jijini DSM kesho ktk ukumbi wa Moment. Akiendelea kuitangaza albamu yake hiyo mpya atakamua jukwaa moja na wasanii wengine wa muziki wa kizazi kipya ambao ni Stopa rhymes, Pig Blak, Dullayo, na Ommy G!!


No comments:

Post a Comment