Tuesday, July 7, 2009

XXL YA CLOUDS KUWARUDISHA SKOOL


Baada ya likizo za shule mbalimbali bongo ambayo inaanzaga miezi ya June na kumalizikia July, kabla ya kurudi skool tena wadau kuna hio bash moja ya ukweli lazima tuitimbie july 11 ndani ya 'wet n wild' kunduchi DSM !!!

No comments:

Post a Comment