Tuesday, July 7, 2009

DULLAYO KUACHIA NYIMBO MPYA " NAUMIA ROHO "

Dullayo a.k.a D timing


Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Abraham Kassembe a.k.a Dullayo hivi karibuni ataachia nyimbo yake mpya kwenye vituo mbalimbali vya redio, amesema nyimbo inaitwa "NAUMIA ROHO" imefanywa na produza KGT na KISAKA studio za G Record DSM, Tanzania.

Mdau, kaa tayari kumskiza msanii mwenye vocal kali alivyolalamika humo ndani!!!

No comments:

Post a Comment