Wadau, mchizi ndio kashaachia bonge la album mliyokua mkiisubiri sokoni tumuunge mkono msanii kwa kununua original copy!, mzigo una nyimbo 10 za ukweli unakwenda kwa jina la KWA AJILI YAKO ambapo pia ni moja ya nyimbo kwenye album, alishaiachia nyimbo hiyo na ina'hit' kwenye radios kibao bongo. Get ur copy mdau!!
No comments:
Post a Comment