dj kobo akisugua mashine ndani ya studio ya Radio Times
Jina halisi mchizi anaitwa Jacob Mhina a.k.a Dj KOBO a.k.a 'MACHINE'.Jamaa anapiga mzigo ndani ya jumba la Redio Times 100.5 Fm jijini Dar es salaam, ashawarusha sana kwenye ma-club kibao bongo pia unaweza kumnyaka zaidi ktk kipindi cha Afro Vibes kinachorushwa na Redio Times kila siku jioni mishale ya saa 1 hadi 3 usiku anakuwaga sambamba na mwanadada machachali Amina Singo 'wa pekee' pamoja na Almasi Msabaha,
na kipindi kingine cha kinyamwezi zaidi "THE CUT" kila siku ya j3 mpaka ijumaa saa 9 hadi saa 10 jioni sambamba na SHEIZA, dk 60 za madude ya mbele.
Kitaani wadau wengi hupenda sana kumrusha au km kumpa hi! hv kwa kibwagizo cha "DJ KOBO KIMBIZA HAOOOOOOOOOOO"
namkubari kijana noma kwa milazooooo!
ReplyDeletekijana namkubali noma kwa milazooooo uyo!!kip it up ma man!! god b wit u!!!!!!
ReplyDelete