BEATRICE LUKINDO AWA MISS VYUO VIKUU 2009
Miss Vyuo 2009 Beatrice Lukindo kutoka IFM akiwa ktk picha ya pamoja na mshindi wa2 Dorris Deonatus wa USTAWI Kulia na mshindi wa3 Esther Gao wa DIT baada ya mshindi kutangazwa katika shindano hilo jana usiku ktk ukumbi wa Karimjee, DSM.
No comments:
Post a Comment