Monday, August 24, 2009

4NCE B ARUDI SKUL....!!

4nce B
Msanii na mtayarishaji mziki(prodyuza) chipukizi Alphonce aka '4nce B' ameamua kurudi darasani ili ajiweke fiti zaidi kisanaa, akiongea na blog kwa njia ya cm kutokea chuoni Bagamoyo jamaa amesema anaamini atafanya vizuri akiunganisha kipaji alichonacho na elimu ya sanaa atakayoipata chuoni hapo, pia mchizi alionyesha kufurahi alipokutana na wasanii wengine wakubwa wakiwa nao wamekwenda kujifunza sanaa ya darasani!!!

Mi namtakia kila la kheri mshkaji ktk elimu yake, 4nce B amefanya kazi mbalimbali za bongo flava ila ambayo ameshaiachia kwenye baadhi ya vituo inaitwa 'You make me feel' ambayo ameitengeneza mwenyewe ktk studio za Fiz record.

No comments:

Post a Comment