Monday, August 24, 2009

DULLAYO, DOGO MFAUME WALIVYONOGESHA DISKO LA 'VUNJA JUNGU'



Usiku wa kuamkia jana wasanii Dullayo (kulia) na Dogo Mfaume aka Dogo Mufin (kushoto) walipiga bonge la show iliyodumu km lisaa limoja hivi ktk ukumbi wa disko wa Gallapo theatre uliopo Ilala DSM




dj kobo
Wakiwa wanaukaribisha mwezi mtukufu wa Radhaman ktk disko hilo lilikua chini ya ma-dj wakali, wapenzi wa kuruka majoka ktk ukumbi huo mdogo wa disko walifurahi sana vile burudani imeendeshwa, kabla ya wasanii kuperform mashine ilianza kusuguliwa na dj chipukizi Mikael Saduka, akafuatiwa na dj Kobo aka Machine na dj Juice pamoja na dj Niko track wakawapandisha wasanii kunako dancing floor

BLOG INAWATAKIA MFUNGO MWEMA WA RAMADHAN

.

No comments:

Post a Comment