Friday, August 21, 2009

Samsung yaipiga tafu Miss Vodacom Tanzania kwa Us$ 55,000

Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga akiwa na Meneja Mkuu wa kampuni ya Samsung Afrika Mashariki na Kati, Patricia King'ori (katikati), akimpa mrembo Florence Josephat simu aina ya Star, zitakazotolewa km sehemu ya zawadi kwa washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2009, katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment