Friday, August 21, 2009

ANKO ONE ALIVYOUAGA UKAPERA DAR...!

Onesmo aka Ndolanga wa dar, akiwa na mwenzi wake muda mfupi 2 walipofunga ndoa yao ktk kanisa la katoliki parokia ya vingunguti jijini DSM na bonge la sherehe ktk ukumbi wa Msimbazi centre.


Mambo ya ndafu mdau, usipimie.......

No comments:

Post a Comment