Show 2 za Lil Wayne's America's Most Wanted Tour zilizoandaliwa na Young Money zimeingia dosali huko Canada baada ya mchizi kuugua, liliripoti gazeti la Vancouver Sun.
Lil Wayne na crew lake walitegemea kupiga show kali huko Vancouver na Edmonton juzi wakisindikizwa na wakali wengine km Young Jeezy, Soulja Boy, Pleasure P, na Jeremih.
Hii sio mara ya kwanza jamaa kuahirisha show zake huko Canada, sababu hata june mwaka jana mchizi alitokewa na ishu km hiyo mjini Toronto!!
Mdau, inakuaje hii! Kibongobongo si tungemmaindi- mchizi km anafanya makusudi hivi....au!!!???
No comments:
Post a Comment