Rais Jakaya Kikwete, akimkaribisha Ikulu, mchezaji wa mpira wa kikapu Hasheem Thabeet ambaye anacheza Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani NBA. Kikwete alimwalika chakula cha mchana mchezaji huyo jana na kumpongeza kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza ligi hiyo.
No comments:
Post a Comment