Wednesday, August 19, 2009

Ommy G akinukisha Party ya Majohe-Dar


Ommy G aliyekuwa MC ktk party ya uzinduzi wa camp ya Wakombozi huko pande za majohe nje kidogo ya jiji la Dar, juzi alikinukisha baada ya mashabiki wake kutokubali tu aishie kuwa MC bali aimbe hata nyimbo yake moja ili warithike, ndipo mnyamwezi alipoanza kuchana mafreestyle huku akishangiliwa akamuomba dj ampe beat, kila beat aliyokuwa akiweka dj haikulia vizuri na kuonyesha kuwa dj km kafeli hivi!!
Ommy G aliendelea kidogo kuchana na kumalizia na dj matakoooo..!!! ndipo mtanange ulipoanza huku wengine wakishangilia

No comments:

Post a Comment