Tuesday, August 18, 2009

WABONGO TUMPIGIE KURA ILLUMINATA ATUWAKILISHE VYEMA MISS UNIVERSE

Miss Univesy TZ 2009, Illuminata Wise anayetuwakilisha vyema huko Bahamas ktk kusaka taji la Miss Universe wa Dunia.

TUMPIGIE KURA ZA KUTOSHA AWEZE KUTULETEA TAJI HILO HAPA BONGO.
Piga kura kupitia mtandao huu http://www.missuniverse.com/members/profile/41815members/profile/41815

No comments:

Post a Comment