Monday, August 17, 2009

HASHEEM ALIVYOPOKEWA KWA SHANGWE U/NDEGE DAR


Hasheem Thabit ameweka historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kucheza kikapu katika ligi ya kikapu ya Marekani NBA ya nchini Marekani.
Alipokuwa anawasiri kwenye kiwanja cha ndege kwa mapumziko mafupi bongo juzi alipokewa kwa shangwe kubwa na watanzania wengi waliokuwepo mahala pale kuonyesha jinsi gani Tanzania inajivunia kijana wao.
Hasheem aliwashukuru Watanzania waliojitokeza kumpokea na kuwahakikishia kuwa atawatangaza vizuri katika kipindi chote atakachokuwa akicheza kikapu katika ligi hiyo.

No comments:

Post a Comment