Monday, August 17, 2009

ZOMBE YUKO HURUUUUU!!!!!!!


Baada ya kesi yake iliyodumu kwa miaka mi3 ya mauaji ya makusudi ya Sabinus Chigumbi, na ndugu yake Ephrahim Chigumbi na Mathias Lunkombe ambao walikuwa wafanyabiashara wa Mahenge, pamoja na dereva teksi wa Manzese jijini Juma Ndugu.
Kamanda Abdala Zombe na washtakiwa wenzake waachiwa huru leo, ktk mahakama kuu walipokuwa wakisomewa hukumu na Jaji Salum Massati.

No comments:

Post a Comment