Xavier Renne aka XDIZO mtoto wa maskani, juzi katika mashindano ya freestyle (mitindo huru) ya mc shujaa yaliyofanyika fukwe za Coco beach yakiandaliwa na Clouds fm alifuzu ktk round ya kwanza ya mchujo huo, ambapo fainali zake zitafanyika ktk tamasha la Fiesta baada ya sikukuu za Idd.
No comments:
Post a Comment