Monday, August 17, 2009

USAIN BOLT AWEKA RECORD MPYA YA WAFUKUZA UPEPO DUNIANI

Mjamaica Usain Bolt mbele ameweka record mpya ya kumaliza mita 100 kwa sekunde 9.69 mjini Berlin juzi ktk mbio za Olympiki.

Usain Bolt the fastest man in tha world
Record ya mwisho ambayo haijawahi kuvunjwa mpaka juzi iliwekwa mwaka 1996

No comments:

Post a Comment