Bongo imefanikiwa kuingiza wasanii wa2 wa muziki wa bongofleva ktk tuzo za Afrika zinazoitwa Mtv music awards with Zain 2009 au Mamas 2009 baada ya AY 'mzee wa commercial' na mwanadada Sara Kaisi SHAA kuingizwa kwenye nominations 2 tofauti, AY yupo na majamaa wengine ktk Best Hip Hop
M.I. (Nigeria)
A.Y. (Tanzania)
Zulu Boy (South Africa)
Jay-Z (USA)
Kanye West (USA)
SHAA yupo ktk Best New Act na wengine
M.I. (Nigeria)
Shaa (Tanzania)
STL (Kenya)
Bigiano (Nigeria)
Rhythmic Elements (South Africa
No comments:
Post a Comment