Wednesday, August 26, 2009

HASHEEM THABEET APEWA UBALOZI WA RIGHT 2 PLAY TANZANIA

Shirika linalojiHusisha na kuinua vipaji vya watoto michezo Tanzania Right to Play (RTP) limemteua mchezaji nyota wa Mpira wa kikapu kutoka Tanzania anaechezea timu ya Memphis grizzlies inayoshiriki ligi ya NBA Marekani Hasheem Thabeet, kuwa balozi wa shirika lao ili kuwapa changamoto watoto wachezaji kuiga mfano wake!!

Jamaa aliukwaa ubalozi huo alipokwenda kuchek maendeleo ya michezo kwa watoto ktk viwanja vya shule ya msingi uhuru wasichana.

No comments:

Post a Comment