Mkongwe kwa zaidi ya miaka 20 kwenye game, superstar, msanii, mwandishi wa nyimbo na prodyuza machachali mwenye asili ya Haiti huko Jamaika
Wyclef Jean atakuwa mwanamuziki na mgeni mwalikwa ktk MTV & Zain Africa Music Awards zitakazo fanyika Nairobi nchini Kenya, tarehe 10 ya mwezi Oktoba 2009 ndani ya Moi International Sports Complex.
Pamoja na Jean kuperform live ktk awards hizo kutakuwa na show kutoka kwa wasanii wakali, namzungumzia
Wahu- Kenya,
M.I - Nigeria,
Lira - South Africa na
Samini wa Ghana.
Hizi zitakuwa Awards za2 kufanyika, mwaka jana zilifanyikia kule Abuja Nigeria na mgeni rasmi alikuwa mtangazaji wa BBC ambaye pia ni DJ mkongwe Trevor Nelson.
No comments:
Post a Comment