Ambwene Yesaya 'AY' na Sara Kaisi 'SHAA' kulia wakizungumza na waandishi wa habari hii leo kuhusiana na tuzo zinazowakabili za Mtv, Watanzania na ma-fans wote wa AY na Shaa tuwapigie kura wasanii wetu waweze kutwaa tuzo hizo zitakazotolewa hivi karibuni jijini Nairobi Kenya Oktoba 1o mwaka huu.
Kuwapigia kura nenda http://www.mama.mtvbase.com/ au http://www.mtvmama.mobi/.mwisho wa kupiga kura ni J2 ya tarehe 20 Septemba. Pia unaweza kutuma sms kutumia simu yako ya mkononi kwenda namba 0789777333
TU-VOTE WADAU HAWA NDIO WASANII WETU, AU......!?
No comments:
Post a Comment