Maafisa wa Stanbic Bank (T) Limited pamoja na mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la kandanda Tanzania TFF Sande Kayuni wakiunyanyua mpira juu ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa STANBIC AFCON 2010.
Wabongo wa2 wenye bahati zao watasafiri mpaka Luanda, Angola kwa gharama za benki ya Stanbic kushuhudia fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazoanza kurindima Jan. 9 mwakani. Inshu yenyewe inaitwa “Open, Use and Win,” unachotakiwa mdau ni kufungua akaunti mpya, uitumie ndipo unaweza kubahatika!!!
No comments:
Post a Comment