Wednesday, September 2, 2009

Serengeti boyz mwanzo mzuri.............!!


Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys wakiwa ktk picha ya pamoja na meneja uhusiano wa Serengeti Breweries Teddy Mapunda wa3 shoto na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo George Mkuchika wa6 mara walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere leo asubuhi, baada yawafunga wenyeji Sudan 2-0 na kunyakua nafasi ya tatu ya michuano ya Chalenji huku wakitwaa medali ya shaba na Dola za Kimarekani 5000, nafasi ya 1 imekwenda kwa Uganda baada ya kuipanjua Eritrea kwenye fainali.

Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys, iliyoonyesha mwanzo mzuri kwa mashindano mengine yanayolikabili taifa la Tanzania. Bado serikali ina jukumu kubwa la kuwapa mafunzo zaidi na elimu ili kusimama imara ya maendeleo ya soka la kisasa!!!

No comments:

Post a Comment