Thursday, September 10, 2009

Album mpya ya mwanamama Whitney Houston yafunika Bilboard charts...!

Whitney Houston is back!
Msanii mkongwe Marekani Whitney Houston (46) amerudi kwa kasi na album yake mpya "I Look to You" inayoonyesha kumpa mafanikio km zingine 4 zilizotangulia. Album imefanya mauzo makubwa kwa wiki hili na kukamata no. 1 ktk chart bora duniani za Bilboard ikiwa tayari imeuza nakala 305,000. Rekodi zinaonyesha hii inakua album bora ya Whitney tangu alipotoa "The Bodyguard" iliyokaa kwa mda wa wiki 20 ktk chart hizo mwaka 1993.

No comments:

Post a Comment