Monday, September 7, 2009
Kanumba ala shavu Big brother!! ...eti lugha yamshinda kuwasiliana....
I'm really excited to be involved- being in the Big Brother House is a career highlight for me and I will cherish the experience for the rest of my life.
Msanii mahiri wa filamu hapa bongo Steven Kanumba alikuwa ni mmoja kati ya wageni wa4 walioalikwa kuwapokea washiriki wa bigbrother revolution jana usiku, jamaa kapewa masaa 24 ya kuwepo mle ndani mda ambao unamtosha kabisa kuji-promote yeye na sanaa yetu 'bongofilamu' kwakuwa Afrika nzima inatazama ile kitu.
Nimejaribu kufuatilia maoni ya watu wengi wanaoendelea kufuatilia live ndani lile jumba, inaonyesha braza ameshindwa kabisa kuwasiliana na washiriki wengine na kuongea vitu vikaeleweka km vile anavyofanyaga kwenye filamu zake tofauti na ma-star wenzie Tuvi, Khanyi, na Nnohle.
"mshkaji full kula ma2nda ataki w2 wamwongeleshe,Yes,No kwa sana,nakucheka ata pasipo chekesha."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment