MAMLAKA ya chakula na dawa (TFDA)kwa kushirikiana na la Jeshi la Polisi Nchini na shirikisho Polisi la Kimataifa (INTERPOL)wamefanikiwa kukamata bidhaa bandia zenye thamani ya Sh. 1,255,700 vikiwemo vipodozi vinavyosadikiwa kuongeza maumbile ya binadamu.
''Operesheni hii pia ilifanyika katika Nchi za jirani ikiwemo Kenya na Uganda kwa lengo la kufanikisha operesheni hii kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa dhumuni la kuondoa dawa bandia katika nchi za afrika'' alisema Mkurugenzi wa makosa ya jinai BwRobert Manumba alipoongea na wanhabari majuzi 7 sept.
No comments:
Post a Comment