Mwanadada Elizabeth kutoka Tanzania ameingia jana pamoja na wengine 11 kutoka mataifa mbalimbali kunako jumba la Bigbrother. Eliza ambaye ni Tv presenter pia aliwahi kushiriki Miss Tz na kufikia top 10.
Kabla ya wanadada hao kuingia kulitakiwa kuwa na show kutoka kwa 'AY' km ilivyotangazwa awali, lkn haikuwepo ila msanii huyo ataperfom J2 nyingine.
No comments:
Post a Comment