Monday, September 14, 2009

BREAKING NEWZZZZZZZZ....!!?

Habari za masikitiko zimetufikia hivi punde kuwa....... MOHAMED Mpakanjia,mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam aliyepata kuwa mume wa marehemu Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Chifupa (UVCCM), amefariki dunia nyumbani na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam, imefahamika.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMIN!!

No comments:

Post a Comment