Thursday, September 3, 2009

Bosi wa Chelsea ajakula-bata Bongo..........

Abramovich alipokuwa akitazama mechi kati ya timu yake na Burnley Stamford Bridge August 29, 2009 jijini London, England.

Mmiliki wa timu inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza Chelsea football club, Roman Abramovich ametua bongo kwa dege lake binafsi ktk jiji la Arusha kwa ajili ya kutembelea mbuga za wanyama za Serengeti na mlima Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko yote barani Afrika.

picha ya ndege ya Roman Abramovich
Akiambatana na wasaidizi wake kama 6 hivi ktk ndege yao alipokewa na naibu waziri wa biashara Dr Cyril Chami, Kilimanjaro airport.

akiwa ktk moja ya matembezi yake mbugani, siku za nyuma

No comments:

Post a Comment