Saturday, September 5, 2009

ONE DAY 2 GO.................BIG BROTHER AFRICA REVOLUTION!!!!!


Kesho Septemba 6 ndio mpangomzima, awamu ya nne ya BBA ndio itaanza na kudumu kwa siku 91, cha kufanya mdau tune tv yako kunako channel no. 198 kupitia dstv.


Nchi shiriki 14 ni Angola, Botswana, Ethiopia, Ghana, Malawi, Mozambique, Namibia, Nigeria, Kenya, South Africa, Uganda, Tanzania, Zambia and Zimbabwe. Kila nchi itakuwa na muwakirishi mmoja, na mwisho wa siku 91 atapatikana mshindi mmoja atakaye kabidhiwa US$200,000.

No comments:

Post a Comment