Friday, September 4, 2009

TLC WANARUDI STEJINI...............!!

Tionne Watkins na Rozonda Thomas madada wa2 waliobakia ktk lile kundi machachali la R&B Marekani TLC watarudi tena kuperform stejini ktk concert la kirafiki Oct. 17 huko Vegas ikiwa ni baada ya miaka km 7 ivi iliyopita, kwani tangu walivyompoteza mwenzao 'Left Eye' mwaka 2002 hawakuwahi kufanya show!

Chili
"We're not replacing Left Eye," Chilli alisema kuhusiana na mwenzao Lisa "Left Eye" Lopes, ambae alifariki ktk ajali ya gari huko Honduras Marekani mwaka 2002.

Sijui km ndio wanarudi jumla..? na pia sijui km show zitakuwa za ukweli bila Left eye maana ye km ndio alikuwa steling hivi,

"I'm sure it looks that way, but I think once people watch the show, they will see that it's not about a replacement." tboz alijibu. Sasa em tuone....! Welcom back madada.

No comments:

Post a Comment