Friday, September 4, 2009

Mwana FA & Sugu ndani ya Collabo jingine!

Mwana FA amezuru USA ambako atafanya collabo song na mkongwe wa Bongo Flava bongo Sugu jiwe wanaloliita "Dunia Yako" ikiwa ni ktk maandalizi ya album mpya ya kwake Sugu inayoitwa VETO ktk studio ya prodyuza wa kiTanzania ( Stiggo ) inayoitwa S&S Records iliyopo BrookLYN, New York.
Baada ya "Nazeeka Sasa" ya Binamu, sasa ni "Dunia yako" kutoka kwa Sugu, em tuone maujanja kutoka kwa ma-prodyuza tofauti!!!!!

No comments:

Post a Comment