Hanselem Tryphone Ngaiza, ‘Soggy Doggy’ aka Mbishi wa Town (M.W.T) aka Super Dupa Rappa msanii wa bongofleva anayefanya mziki kwa ajili ya watu wake, sasa anawakamata baada ya kuachia nyimbo yake mpya anayoiita Wabishi wa town akishirikiana na wabishi wengine wa2, kwenye verse ya 2 yupo 'King-Kong' aka Chid Benz na ya 3 kamaliza yule mchizi ambaye huku mitaani ni most wanted aka 'Dknob', mzigo mzima umefanyikia studio za Jaz Record.
Sogg ambaye pia anapiga mzigo ktk kituo cha redio Uhuru as a presenter kazi ambayo nahisi inamfanya awe bize sana kiasi cha ma-fans kum-mis vilivyo, kwenye verse yake anasema ye sio che..ck...bobu! maisha kwake ni kama hesabu!
No comments:
Post a Comment