Wanawake na benki yao....!
Raisi Jakaya Kikwete mbele katikati akiwa na baadhi ya viongozi wa serikali, wa3 kushoto first lady Mama Salma Kikwete mara baada ya kuzindua benki ya wanawake Tanzania Women's Bank (TWB) iliyopo mtaa wa Mkwepu, leo jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment