Pray god
kweka jina la stage.
Baghdad ni msanii alieeanza muziki ki mazabe sana na
kuonekana kupata bahati ya kupewa saport ya ghafla mara baada ya kupewa nafasi
ya kuonyesha kipaji chake mwishoni mwa tamashaa la kutoa nafasi kwa vijana
wanaochipukia kwenye mziki wa hip to hip hop ambalo lilizuriwa na wasanii
wakubwa wa ndani na nje ya nchi kama fid q, langa, Saigon, na wasanii waliotoka
nje ya nchi ni gnl zamba, na msanii kutoka nchini nijeria ambae jina lake
halikuweza kupatikana na miongoni mwa waandishi habari walioweza kuwepo kwenye
tamasha hilo ni pamoja na fatma hasan, a.k.a fetty, ruben ndege a.k.a ncha kali
ambae ni production manager wa clouds fm.
Na kati ya
maproducer wakongwe walionekana kuvutiwa na kipaji chake ni producer mkongwe Ali
baucha ambae aliweza kutoa ma mc wengi wakubwaa wa hip hop Tanzania kama Fid
q, Rado, Chid benz, na wengine wengi. Ndipo kukutanishwa na Manyeko na kufanya
ngoma yake ya kwanza iliyoitwa “hip hop imesimaama” na kuweza kumfanya kuweza
kujizolea mashabiki kibao kwa kuwa aliiachia siku moja baada ya kutolewa kwenye
shindano la freestyl mc shujaa, ya mwaka 2009
iliyokuwa inaendeshwa na fetty chini ya kipindi cha bongo flava.
Na ukuaji wa mziki wake umekuwa wa ajabu ajabu
kutokana kuwa mc wa kwanza Tanzania kufanikiwa kuwa na mashabiki wengi, kupiga
shows nyingi kubwa, kufanya intaviews nyingi, kupewa promo na radio zote
Tanzania bila kumbania ingawa mpaka alipofikia hana na hajawahi kuwa na manager
wa aina yoyote na kila sehemu huwa anafanikiwa kufanya kazi bure na kujikuta
wale wanaomfanyia kazi ndio kugaramika.
Mfano baucha aliondoka na ngoma 5 na
hakudaiwa hata shilingi 100 licha ya kutokuwa na makubaliano yoyote ya kusighn
na studio ya baucha!
Amefanya ngoma mbili ambazo zimefanya vizuri sana ndani na
nje ya nchi full ng’ae ng’ae bila kutoa hata sh 50 kwa producer wa d fatality
na hata baadae walipokuja kukorofishana aliweza kuja kufanya ngoma ya ohh mama
na climax bibo, na wakati hawakuwa wakiongea na producer aliefanya mix bila
malipo, wakati messen alikiri ya kuwa ufanyaji kazi wake umebadilkika kwa sasa
pesa mbele kama tai.
Na kwa sasa anakabiliwa na kesi kubwa ya
kutumia chater ya kundi alilokuwa akilitumikia mwanzoni mwa mwaka 2010 kabla ya
kujitoa mwanzoni mwaka huu, na chaa ajabu uliwahi kusikia wapi mtu aliyepeleka
kesi mahakamani kama mdai alietambulika kwa jina lililopo kwenye file la kesi DiCkison
kuomba suluu baada ya kuhairishwa kesi mpaka tar 3 mwezi May.
Hivyo hali yake ya kuwa anaogopewa na watu wengi kila sector, Inaweza kudhihirisha ya kuwa yeye ni muhusika wa familia ya freemason, kwa kuwa hajawahi kufanya show hata moja asiwe kati ya wasanii watatu bora kwenye show hiyo, na lazima ataonyesha vidole, au ishara yoyote ya ajabu. Baghdad, a.k.a Notorious wa bongo, kwa sasa anatumia jina la P.G Kweka au Mjukuu wa Lusifer.
Kuhusiana na mziki
Video ya “hip
hop imesimama” kunapicha ya fuvu, ukicheki "kamba 2kamba" kuna ishara za free
mason, ukpitia baadhi ya lyn zake, mfano kwenye hip hop imesimama
“ marehemu ninaeish kiufupi mi nmzmu
Tanzania nw brnda dar n bidhaa hadimu
sijasomea majungu na wala siujui umbea
doubt nilipo sasa usiulize nilipotokea”
kwenyengoma yake ya “ng’aeng’ae” alisema “nawauzunisha
waliojipaga kuelekea moton nawa furaisha wenye tv yakuona pepon
kwenye ooh mama “yee ni zombie joo mzimu wa marehem huwa
hauzirai”
kwenye kamba 2 kamba aliziirisha dhahili kuwa anatoa kafara kwa kunywa
damu zawatu kwa kusema “damu za dadazao zinatolewa kafara ghetto” licha ya
ngoma mpya ambayo ukisikiliza lyn moja
baada ya moja kumuusisha na freemason
kwa kukiri kuwa yeye ni Mjukuu wa Lucifer, jina la kiongozi wa free mason!
Na moja ya
line zake anasema ‘was bon freemason na ubongo alipewa na lusifer, been haso
kutafuta damu awe satisfy.
Na ukiisikiliza mwishoni mwa ngoma hii utasikia
akisema dissline kwa "Diamond platinum" na huwezi amini kwa msanii mkubwa kama Diamond
ambae ukionekana kugusa hata kiatu chako kwa soli yako haoni shida kukufungulia
kesi ila imekuwaje kuwa kimya kwa kauli hii kutokuifanyia kazi!
No comments:
Post a Comment