Mpaka kuwa judge wa TPF5 auditions ni recommendation ya HERMY B wa
B-Hitz kwa project manager wa TPF5..Ikiwa ni mara yangu ya pili kuwa judge wa music contest,mara ya kwanza
ikiwa ni katika "Serengeti Fiesta Freestyle" ya arusha zone ilofanyika
"mawingu club arusha,nikisaidiana na judge mwenzangu,hiphop Legendary FidQ" akapatikana
mshindi "Tash Tashnificent wa chapia" na second runner up "VeeJay wa
Kimziki Zaidi",
Nimejifunza kwamba Tanzania tunaweza sana muziki,changamoto kubwa
inayotukabili ni tabaka la idadi ya wasanii wanaozungumza lugha ya
kiingereza kwa ufasaha.
Kenya wana idadi ndogo ya Music Artists likini
wenye mafanikio na mikataba mikubwa na makampuni tofauti na Tanzania
wasanii wetu ni wengi sana na wengi wao hawana mikataba wala
endoresments za kufanya wajiendeleze kimaisha,
Tofauti inakuja kuwa
Kenyan artists wapo wachache na wote wanamaintain status kwa miaka nenda
rudi because ufanisi wao wa mawasiliano kwa kiingereza kunageuka
"ticket" ya kufanya ziara nyingi zaidi nje ya nyumbani kuliko ndani
hivyo kubaki RELEVANT over TIME
No comments:
Post a Comment