STUDIO YA "PAMOJA RECORD" IMEACHIA
SINGLE MPYA YA YULE MWANADADA CANDY AMBAYE MWEZI MMOJA ULIOPITA ALIACHIA
NGOMA YAKE INAYOKWENDA KWA JINA NIMPENDE MILELE IKIWA CHINI YA MOST
RECORD..!.
LEO HII "PAMOJA RECORD" IMEACHIA SINGLE YA MWANADADA HUYO INAYOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI", CANDY MSANII AMBAYE LICHA YA UIMBAJI PIA ANAKIPAJI PIA CHA KUCHEZA MIZIKI YA AINA ZOTE.
LEO HII "PAMOJA RECORD" IMEACHIA SINGLE YA MWANADADA HUYO INAYOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI", CANDY MSANII AMBAYE LICHA YA UIMBAJI PIA ANAKIPAJI PIA CHA KUCHEZA MIZIKI YA AINA ZOTE.
CANDY AMBAYE MTAANI ANAJULIKANA KWA JINA LA (CANDY TIKISA!! AU CANDY WA KUJIACHIA..!) , AMBAYE AMEJIPATIA UMAARUFU MKUBWA PALE ALIPOSHIRIKI MASHINBDANO YA KUCHEZA MUZIKI YALIYOKUWA YANAJULIKANA KAMA "TIKISA" AMEACHANA NA LEBO YA "MOST RECORD " NA KUPATA OFA NYINGINE KWENYE STUDIO ZA PAMOJA RECORD JIJINI DAR ES SALAAM, AMBAYO TAYARI AMESHAREKODI SINGLE YAKE HIYO MOJA INAYOITWA "CHANINI" AMBAYO TAYARI IMESHAANZA KUPIGWA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO. KWANINI AMEACHANA NA MOST RECORD?................. CANDY ANAJIBU KUWA HAWAKUELEWANA NA MANAGEMENT NZIMA YA MOST RECORD AMBAPO KWA SASA WAPO KWENYE MZOZO AMBAO BADO HAUJAPATIWA UFUMBUZI LAKINI TAYARI ALIKUWA AMEREKODI SINGLE MOJA PAMOJA NA VIDEO AMBAYO VYOTE AMEFANYIA KWENYE KAMPUNI HIYO YA MOST RECORD, YEYE CANDY AMEIZUIA ISIONYESHWE KWENYE VITUO VYA TELEVISION MPAKA PALE MUAFAKA WAO UTAKAPOMALIZWA.
CANDY AMEWAFAGILIA SANA PAMOJA RECORD KUWA WAPO SAWA NA MAKINI SANA KWENYE KAZI NA NDIYO MAANA AMEINGIA MKATABA NAO NA HUKO ATAFANYA KAZI AMBAYO MASHABIKI WA MUZIKI WATASUUZIKA NA MUZIKI WAKE.................EBU SIKILIZA SINGLE YAKE HII YA CHANINI............ NDANI YA WIMBO HUU AMEZUNGUMZIA KITU GANI!! ...........EBU FUTATILIA ALA ZA MUZIKI JINSI GANI ZILIVYOPANGWA NA KUPANGIKA CHINI YA USIMAMIZI WA MKUBWA WA MTAYARISHAJI WA MUZIKI MTU MZIMA NASS B.
WASIFU WAKE :
JINA LA MSANII : HELEN DAVID LUSEKERO
ANAJULIKANA KAMA : CANDY
JINA LA WIMBO : CHANINI
STUDIO : PAMOJA RECORD
MTAYARISHAJI WA MUZIKI : NASS B.
MAWASILIANO : 0753915938
WIMBO HUU NI RUKSA KUCHEZWA SEHEMU YEYOTE BILA YA MASHARTI.
PAMOJA SANA !
BY OWEN
No comments:
Post a Comment