ChopaBoy aka William Munishi ni msanii chipukizi wa rap katika game
akiwa anatokea arusha na hapa ameflow juu ya mdundo wa marekani
akimshirikisha mwanadaad MayChedda katika chorus ya wimbo HAYA MAISHA pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania
No comments:
Post a Comment