Huyu ni kijana mpya kabisa toka pande za Watengwa ndani ya Arusha, hii
ni debute single yake ikiwa kama utambulisho rasmi wa kijana K Doo hapa
akiwa ameshirikiana na baba mkubwa Chaba ambaye kwa namna moja ama
nyingine amejitolea kwenda bega kwa bega na KDoo katika safari yake ya
muziki,ngoma inaitwa Tunakujaza Upepo/Usibonge mkono wa John Blass(John
B) toka pande za Grandmaster Records
Listen/Download link: www.hulkshare.com/dl/6436yvy7t3sw
No comments:
Post a Comment