Hii ni brand new toka kwa msanii Cmpoo mwenye maskani yake Arusha na
shughuli pande jirani na RocaSigns jijini Arusha na hapa anadrop ngoma
mpya "Baby Rasta' ikiwa ni mkono toka kwa Defxtro,Noizmekah Production Studio,Pata kusikliza HAPA
na endelea kusupport muziki wa Tanzania, Kwa mawasiliano na mahojiano
zaidi check na Cmpoo kupitia +255 757 613 316 powered by www,vmgafrica.com
------------------------------
http://www.hulkshare.com/o84if41q77k0
------------------------------
http://www.hulkshare.com/o84if41q77k0
No comments:
Post a Comment