Ndugu,jamaa,marafiki na wasanii wajumuika kwenye mazishi ya rapper Langa
Kileo aliyefariki wiki iliyopita katika hospital ya muhimbili jijini
Dar es Salaam.Langa amezikwa leo kwenye makaburi ya kinondoni ambapo
mazishi yake yameongozwa na wazazi wake wawili Mr & Mrs Kileo.
No comments:
Post a Comment