World News

Thursday, September 24, 2009

Mdudu Rushwa ndani ya Maisha Plus.....


Rushwa ni adui wa haki kila siku tunaskia hivyo..... blog yetu imeidaka habari kuhusiana na vitendo vya kirushwa vilivyokuwa vikiendelea ndani ya kijiji cha maisha plus umeripoti mtandao wa Dailynews.
Majamaa wale wanaoongoza ule mchezo km wametaka shs. milioni 3 kutoka kwa mshindi aliyepita Bw. Abdul pichani kutoka ktk ile zawadi yake ya shs milioni 10.
Pia kuna ofa walizokuwa wakitaka kutoa kwa washiriki wakati mchezo ukiendelea lakini wakachomolewa....................
sasa sijui km mshindi ye alikubali?!>
sourse; dailynews online news...
....According to the sources, the organizers proposed the ‘offer’ to some participants in the show but all refused.
The sources said that apart from the cash, the ‘winner’ was also promised to be given special privileges.
They said that the participants were required by the organizers to forfeit part of the prize money to offset preparatory costs.
The organizers have offered to give the winner in this year’s event 15m/-, which comprises participants from all over the country.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...