World News

Saturday, October 24, 2009

Lil Wayne Atupwa jela mwaka mmoja..!

Rapa Lil Wayne anayefanya vizuri ktk game ya hiphop Marekani na kushinda tuzo ya Grammy hivi karibun amehukumiwa kutumikia kifungo cha mwaka m1 baada kukutwa na hatia ya kumiliki silaha ktk basi lake alipokuwa akifanya tour New york mwaka 2007.

Polisi wa New York walishuku basi hilo kutumiwa madawa ya kulevya baada ya moshi mwingi kuonekena ukitoka kwenye hilo basi na kulisimamisha kwa ukaguzi ndipo walipoliona bag ilikofichwa bunduki ya Rapa huyo akitaka kuitorosha wasiikamate.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...