World News

Saturday, October 24, 2009

RobMASTER atoka na 'Mage'...........

msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania RobMASTER akiwa na meneja wake Clement Sanga mara baada ya kurekodi ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "mage" mkoani Iringa ktk studio za Rainbow chini ya producer Temmy G.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...