World News

Thursday, October 22, 2009

MISS TANZANIA 2009 APOKEWA KWA SHANGWE KWAO...!!!
Vodacom Miss Tanzania 2009 Miriam Gerald,akiwapungia mkono wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kumpompokea leo, kushoto ni mmoja wa kamati ya waandaji wa Vodacom Miss Mwanza Anita Zimbire.

Maandamano ya mapokezi ya Vodacom Miss Tanzania 2009 Miriam Gerald yalivyokuwa jijini Mwanza leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...