World News

Monday, October 5, 2009

Matonya na T.I.D wala shavu KISIMA Awards 2009...!!Ile show kubwa ya tuzo za muziki nchini Kenya, Kisima music awards 2009 imekamilika wikiendi iliyokwisha baada ya wadau kuisubiri kwa mwaka mzima. Ktk tuzo hizo nyingi zilizotolewa kwa wasanii wengi wa Kenya kulikuwa pia na Category za muziki wa Tanzania ambapo MATONYA amejinyakulia SONG OF THE YEAR TANZANIA na T.I.D amejidhihirisha kuwa ye ni Top baada ya kutwaa Tuzo ya VIDEO OF THE YEAR TANZANIAKtk category hizo kulikuwa na wasanii wengine km ifuatavyo,
SONG OF THE YEAR TANZANIA
Ali Kiba Mac Muga
Kassim Haiwezekani
Matonya ft Lady Jaydee Anita
Nakaaya Mr. politician
Tmk Wanaume Dar mpaka moro
VIDEO OF THE YEAR TANZANIA
T.I.D Nyota yako
A.Y and Mwana F.A Nangoja Ageuke
Lady Jaydee Siku hazigandi
Marlaw Bembeleza
Z .Anto ft Pingu Binti kiziwi
Wasanii wa Kenya waliojizolea tuzo zaidi ni P-Unit, Marion Shako, Wahu & Nameless.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...