World News

Monday, October 5, 2009

Mwanza watwaa tena Taji la Miss TZ....!!

Miss Tanzania 2008, Nasreem Karim ambaye nae alitokea jijini Mwanza akimvisha taji Miss Tanzania 2009, Miriam Geral anayetokea Mwanza juzi ijumaa usiku baada ya kushinda taji hilo kwa kuwabwaga warembo wengine 29 kotoka kanda mbalimbali.

Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald (katikati) akiwa na mshindi wa2, Beatrice Lukindo (kushoto) anayewakilisha Vyuo vikuu na mshindi wa3, Julieth William anayewakilisha kanda ya Ilala baada ya kutangazwa washindi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...