World News

Thursday, October 15, 2009

Tuendeleeni kumuenzi BABA WA TAIFA siku zote..!!

Humu ndimo kaburini ulikohifadhiwa mwili wa Baba wa Taifa la Tanzania Mwl. J.K.Nyerere huko Butiama nyumbani kwake.

"HESHIMA YA MTU NI UTU WAKE SI MALI WALA CHEO" maneno ya mwalimu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...