World News

Thursday, October 15, 2009

Hongera Paschal 'Star wa Bss 2009' Tunategemea makubwa kutoka kwako....!!

Mshindi wa mashindano ya kuinua vipaji ya BSS 2009, Pascal Cassian akiwajibika na kushangiliwa na watu wengi sana wakati wa mashindano hayo yaliyofanyika Dsm juzi.


Mshindi wa BSS 2009 Paschal Cassian akionyesha umahiri wake wa kuimba mbele ya mashabiki wake ktk moja ya matamasha waliofanya kabla ya fainali.
Washindi wa BSS waliopita hawajaonyesha Ustar wao baada ya kutoka na nyimbo zao km wanavyoshangiliwa wawapo kwenye kinyang'anyiro.


Jumanne Idd mshindi wa BSS ya kwanza


Mshindi wa shindano la BSS ya pili msimu uliopita Misoji Edward Nkwabi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...